CHIPUKIZI ACHUKUA FOMU YA UDIWANI KATA YA MWEMBESONGO. | The Dodoma Post
The Dodoma Post Siasa

CHIPUKIZI ACHUKUA FOMU YA UDIWANI KATA YA MWEMBESONGO.

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) wilaya Ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (Uvccm) Taifa - Kuiwakilisha Chipukizi,Salmini Nchimbi amechukua fomu leo ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mwembesongo,wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro.

Mwandishi Wetu
By Mwandishi Wetu
03 Jul 2025
CHIPUKIZI ACHUKUA FOMU YA UDIWANI KATA YA MWEMBESONGO.

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) wilaya Ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (Uvccm) Taifa - Kuiwakilisha Chipukizi,Salmini Nchimbi amechukua fomu leo ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya  Mwembesongo,wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro.

Salmini ni miongoni mwa vijana wachache waliamua kugombea nafasi hiyo katika Kata ya Mwembesongo.

Maiko Salali Arejesha Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Mpwapwa, Apongeza CCM kwa Ujumuishwaji wa Makundi Maalum

DWIGHT DANDA KIJANA MDOGO NA MHITIMU WA CHUO KIKUU ATIA NIA UBUNGE KIBAMBA

Katimba aomba ridhaa Ubunge viti maalumu Kigoma

SAGAFF AJITOSA KUMRITHI MAVUNDE DODOMA MJINI

Ubalozi wa Marekani waahidi kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini.