Katimba aomba ridhaa Ubunge viti maalumu Kigoma | The Dodoma Post
The Dodoma Post Siasa

Katimba aomba ridhaa Ubunge viti maalumu Kigoma

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kuteuliwa kugombea ubunge wa Viti Maalumu mkoa wa Kigoma.

The Dododma Post
By The Dododma Post
01 Jul 2025
Katimba aomba ridhaa Ubunge viti maalumu Kigoma

Fomu hiyo amekabidhiwa na katibu wa UWT mkoa wa Kigoma Sarah Kairanya leo Julai 01,2025.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba akionyesha Fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge viti maalumu Mkoa wa Kigoma.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba akisaini Fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge viti maalumu Mkoa wa Kigoma.
CHIPUKIZI ACHUKUA FOMU YA UDIWANI KATA YA MWEMBESONGO.

CHIPUKIZI ACHUKUA FOMU YA UDIWANI KATA YA MWEMBESONGO.

Maiko Salali Arejesha Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Mpwapwa, Apongeza CCM kwa Ujumuishwaji wa Makundi Maalum

Maiko Salali Arejesha Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Mpwapwa, Apongeza CCM kwa Ujumuishwaji wa Makundi Maalum

DWIGHT DANDA KIJANA MDOGO NA MHITIMU WA CHUO KIKUU ATIA NIA UBUNGE KIBAMBA

DWIGHT DANDA KIJANA MDOGO NA MHITIMU WA CHUO KIKUU ATIA NIA UBUNGE KIBAMBA

SAGAFF AJITOSA KUMRITHI MAVUNDE DODOMA MJINI

SAGAFF AJITOSA KUMRITHI MAVUNDE DODOMA MJINI

Ubalozi wa Marekani waahidi kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini.

Ubalozi wa Marekani waahidi kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini.