

Katibu mkuu wa taasisi ya Samia Four Organization na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dwight Danda amechukuwa fomu ya kutia nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la kibamba.
Katibu mkuu wa taasisi ya Samia Four Organization na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dwight Danda amechukuwa fomu ya kutia nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la kibamba.
Akizungumza na waandishi wa habari leo July,1 2025 baada ya kuchukua fomu jijini Dar es salaam Dwight amebainisha sababu za kuwania kiti hicho ikiwa ni mapenzi mema alonayo kwa taifa na Jimbo la kibamba hivyo anatamani kuwa sehemu ya kuchochea maendeleo ya nchi na wanakibamba kwa ujumla.
"Viongozi waliopita wamefanya vema kwa nafasi yao lakini mimi pia kama kijana na nguvukazi ya taifa hili nina shauku kubwa ya kulitumikia taifa langu kwa maarifa na ujuzi nilionao" alisema Danda.
Katika hatua nyingine Danda ametoa rai kwa watu wenye nia ovu kwa taifa na kuwataka kutokuchafua amani ya taifa la Tanzania.
RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA NISHATI MAONESHO YA SABASABA
REA YAJIZATITI KUFIKISHA LENGO LA TAIFA KWENYE NISHATI SAFI YA KUPIKIA
CPA KASORE ASISITIZA UMUHIMU WA KUFUNDISHA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA WATOTO ILI WAWEZE KUJITEGEMEA
TPDC YAJIVUNIA MAFANIKIO YAPATA TUZO SABASABA.
TANESCO YATOA MAJIKO YA UMEME KWA WANANCHI SABASABA.
Maiko Salali achukua fomu ya ubunge Jimbo la Mpwapwa
SERIKALI IMEPUNGUZA TOZO KATIKA ZAO LA KAHAWA KUTOKA 17 HADI 5.
Mkoa wa Katavi umeendelea kutekeleza Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM)
UDOM KUJA NA TEKNOLOJIA MPYA YA KUUZA VIMIMINIKA.
AMANZI NA BABU TALE USO KWA USO JIMBONI