

Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa Moyo jana usiku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Shemeji wa marehemu, Tecla Lucas ameiambia Mwananchi kuwa mwili wa marehemu bado upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali hiyo, wakisubiri ratiba za mazishi kupangwa.
"Amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa Hospitali ya Muhimbili jana usiku msiba utakuwa Mikocheni kwa mama yake mdogo, mwili kwa sasa bado upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti,"amesema Tecla
PPAA yatoa elimu matumizi ya Moduli Wiki ya Utumishi wa Umma
KIHENZILE: UWAZI NA UWAJIBIKAJI NI NGUZO MUHIMU ZENYE TIJA KWA WANANCHI
KIHENZILE:WIKI YA UTUMISHI WA UMMA NI FURSA MUHIMU KWA WANANCHI
ACT WAZALENDO KUUWASHA MOTO MANZESE WAJIDHATITI KUCHUKUA MAJIMBO YOTE DAR ES SALAAM
TANESCO YAJA NA KAMPENI MAALUM YA KUHAMASISHA ULIPAJI WA MADENI KWA WATEJA.
GRAND BUNGE BONANZA KUFANYIKA JUNI 21 2025 HUKU MGENI RASMI AKITARAJIWA KUWA RAIS SAMIA.
KIHENZILE:WIKI YA UTUMISHI WA UMMA NI FURSA MUHIMU KWA WANANCHI
NISHATI YA GESI ASILIA IMEKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA NCHI.
MOI YASEMA WAGONJWA WENGI WANAOWAHUDUMIA WANA MATATIZO SUGU.
CDE SALUM ATANGAZA NIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAHAMA MJINI.