

Mke wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA) Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi wa ofisi hiyo.
Mke wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametembelea banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA) Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi wa ofisi hiyo.
Akiwa katika banda hilo, Mama Janeth alipokelewa na kutembelea kuona namna Ofisi ya Waziri Mkuu inavyohudumia wananchi kupitia Idara, Vitengo pamoja na Taasisi zake.
Aidha, miongoni mwa huduma zinazotolewa na ofisi hiyo ni pamoja na elimu ya masuala ya menejimenti ya maafa, shughuli za Wakala wa Kupigachapa Mkuu wa Serikali, Baraza la Taifa la Biashara, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, elimu ya masuala ya Vyama vya Siasa Nchini, Masuala ya VVU na UKIMWI, Usalama na Afya Mahala Pa Kazi, Masuala ya Watu Wenye Ulemavu, programu ya ASDP II, fursa za vijana pamoja na huduma zinazotolewa na NSSF, PSSSF, WCF na CMA.
DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO CHA TANZANIA NATIONAL COORDINATING MECHANISM (TNCM)
TANZANIA INA UMEME WA KUTOSHA – DKT. BITEKO
eGA Yaonesha Namna Serikali Inavyotekeleza Mageuzi Kidigitali kwenye Maonesho ya sabasaba.
PURA MBIONI KUCHIMBA VISIMA VITATU VYA GESI ASILIA MKOANI MTWARA.
DCEA YABAINI NJIA MPYA INAYOTUMIWA NA WAFANYABIASHARA WA DAWA ZA KULEVYA KUSAFIRISHIA DAWA HIZO.
UDOM KUJA NA TEKNOLOJIA MPYA YA KUUZA VIMIMINIKA.
Mkoa wa Katavi umeendelea kutekeleza Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM)
SINGIDA YANG'ARA SEKTA YA UTALII.
TANZANIA YAENDELEA KUTANGAZA NA KUKUZA KISWAHILI NA UTAMADUNI WAKE KIMATAIFA
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUTOA ELIMU YA SHERIA ZA UCHAGUZI SABASABA.